Uongozi wa shule za Mwilamvya Medium Primary and Secondary Schools unawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2013 kama ifuatavyo:
A. MWILAMVYA ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOLS
Nafasi za Chekechea (Kindergarten)na Darasa la Kwanza, pia tunapokea Wahamiaji wa Darasa la Pili, Tatu, Nne, Tano na darasa la Sita waliotoka katika shule za English Medium.
MASOMO YANAYOFUNDISHWA
nafasi za kidato cha kwanza 2013.pia tunazo nafasi chache sana kwa wahamiaji wa kidato cha pili na cha tatu kwa masharti ya kufanya mtihani wa kuhamia shuleni kwetu, wastani 45
MASOMO
YA NAYO
FUNDISHWA
KIDATO CHA 1-4
(FORM I-FORM IV)
HESABU, KISWAHILI,KIINGEREZA,
KIFARANSA, BOOK-KEPING, COMPUTER ,
HISTORIA, JIOGRARIA, FIZIKIA, KEMIA,
BIOLOJIA,URAIA, pamoja na COMMERCE
No comments:
Post a Comment