Uongozi wa shule za Mwilamvya Medium Primary and Secondary Schools unawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2013 kama ifuatavyo:
A. MWILAMVYA ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOLS
Nafasi za Chekechea (Kindergarten)na Darasa la Kwanza, pia tunapokea Wahamiaji wa Darasa la Pili, Tatu, Nne, Tano na darasa la Sita waliotoka katika shule za English Medium.
MASOMO YANAYOFUNDISHWA
and COMPUTER,